Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1696145632425.jpg
 
THREAD NZURI SANA SEMA CHA AJABU KUNA MAHALI BAADA YA VITUKO UNAKUTANA NA UCHAWI MWINGI SANA. NA ZAMANI ILIKUA RAHISI KUTAZAMA HII NYUZI NA MWANAO ILA SAIZI KUNA MUDA UNAKUTA PICHA HAZINA MAADILI KWA DHANA YA SDY. UZI MKALI ILA MNAUHARIBU
 
Nadhani picha zote zinazoonekana hapa zimechujwa na kuthibitishwa na uongozi kwamba zinafaa kwa matumizi ya jukwaa husika!
Kuhusu uchawi hizo ni picha babaifu kuonesha vituko vya wachawi walozi na washirikina.. Zina utamu wake pia..

Kuna dhana pia kwamba tusihusishe siasa huku lakini kuna wakati kuna vituko vya wanasiasa huwa tunatupia huku
All in all asante kwa pongezi na tutazingatia maoni yako kwa vile umeonesha jinsi ulivyo baba bora kwa kukaa na madogo ukiperuzi nao wakiona hizi picha unawajenga hawa ndio future JF members

Dalali Anaejiamini Hakwepi Kamera Kwa Kugeuka Nyuma, Bali Usowake Anauacha Wazi, Ili Apate Mteja Mwingine, Kwakua Afanyalo Si Dhambi.
20231004_133546.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2771570

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dalali Ni kama RA
 
Back
Top Bottom