SAMIA : Chande ni Msafi hakuondoka TANESCO kwa shida na pale TANESCO hakuna shida yeyote alosababisha yeye, Kukatika kwa Umeme ni kwasababu Serikali zilizopita hazikufanyia service mitambo kwa muda mrefu hivo ndo tunafanya service” Kauli ya SAMIA leo 26/09/2023
Tujikumbushe na kauli ya Makamba
Pindi alivyoteuliwa tu alisema hivi
“nimeletwa Mimi Jembe, tunaanza na service za mitambo Mwaka HUU 2021 March hivo ndani ya Miaka mitatu tutakuwa ni Taifa lenye shirika bora la Umeme si Tanzania tu, Bali AFRIKA nzima na tutauza Umeme hadi kwa Majirani”
Hiyo ni kauli ya Makamba na tunaposema imebaki miezi 2 tu kufika miaka mitatu alosema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.