Wana wivu Hawa, Yani wivu na komandi za ajabu. Sasa huko ndani umkute awe anajua mambo. Ukimwambia kaa mbuzi kagoma utasikia mimi nimechoka fanya kidogo.
Yale yale ya Photo lab.
Mkinga njoo umuone Xavier wako huku na majibu yake 😁😁😁
Just like Mama E and I.
Afya yake naona kama imerudi. Au ni picha ya zamani?Na mc Gara B[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2767690
Picha ya juzi basidei ya kutimiza 33yrs.Afya yake naona kama imerudi. Au ni picha ya zamani?
Alijichanganya akapigwa mvua. Alipotoka dishi likawa limeyumba zaidi akaacha na kazi. I hope aliko yuko salama 🙏🏿Watu wa mwanzo mwanzo kuwasoma kipindi najiunga na jf[emoji16][emoji16] Don Nalimison. Alianzisha bendi akatoa na albamu sijui imeishia wapi