Doh aisee dogo amekuwa vipi
Demu huwa nampima kwa macho kwanza kama ana mabaka, vidoti, vipele visivyoeleweka napita vilee[emoji16][emoji16]
Watu wa mwanzo mwanzo kuwasoma kipindi najiunga na jf[emoji16][emoji16] Don Nalimison. Alianzisha bendi akatoa na albamu sijui imeishia wapi
Huwezi kubukua kama kichwani kuna matope.Kumbe wachaga mna vibamia 🤣🤣🤣🤣 ndio maana mnasoma sana na mashapeless hayatongozagai mashukeni hivyo kubukua ndio option iliyobaki 🤣🤣🤣🤣