moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,234
- 775,715
Tunaivuruga sana Dunia
Tunaivuruga sana Dunia
Aiseee[emoji23]Polisi mjini Blantyre wanamsaka mwanamume wa makamo Victor Banda kutoka Bangwe kwa kumpaka mbwa rangi ya simbamarara ili kuwatishia maafisa wa kurejesha mikopo wa NEEF.
View attachment 2762703View attachment 2762704
Sent using Jamii Forums mobile app
ᴺʲᵒᵒ uniwashieWasha sola