Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wazo zuri
IMG_1695663408585.jpg
 
Mi nakula karibu kila kitu just in moderation. Ukiwafuata hawa watu wa lishe hutaweza kuishi [emoji706][emoji706][emoji706]
Kwakweli jamaa kila kukicha wanakuja na kitisho kipya.
Mi natandika tu, mengine tutajuana mbele kwa mbele.
Baba yangu alikula vyote hivyo na alifariki akiwa na 103 years.
Tusitishane
 
Back
Top Bottom