Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Mayoungie wa Chuga mtawezana na magimbi? ๐๐๐mizizi kama magimbi, viazi, mihogo nk
kwani madaktari wanasemaje๐
magimbi nimeyashindwa aisee๐Mayoungie wa Chuga mtawezana na magimbi? ๐๐๐
Huyo mama pia ni daktari. Wote wanakubali kuwa wali mweupe na sembe ni hatari kwa afya yako hasa mwanaume ๐kwani madaktari wanasemaje๐
Umeamua kufokasi kwenye mbususu tu? ๐ณmagimbi nimeyashindwa aisee๐
ila nimejitahidi sinywi pombe, sivuti kitu
wewe hutumii kabisa? naskia mchele wa brown ni ghaliHuyo mama pia ni daktari. Wote wanakubali kuwa wali mweupe na sembe ni hatari kwa afya yako hasa mwanaume ๐
hamna, naogopa uraibuUmeamua kufokasi kwenye mbususu tu? ๐ณ
Mi nakula karibu kila kitu just in moderation. Ukiwafuata hawa watu wa lishe hutaweza kuishi ๐ฎ๐ฎ๐ฎwewe hutumii kabisa? naskia mchele wa brown ni ghali