Factory owner ana haki ya kutumia/ kuonja / kuangalia ubora wa mtambo unatoa bidhaa zake
Sikujibu, nimenuna[emoji34]Hivi huyu mwanamke ni star kwenye fani gani?
Yaani full kujisifia.
Shida nini?
Anatukazimisha watu wote tumkubali kisa nini?
Ankal wangu anazingua, kuna mtu kamuweka kwenye chupa[emoji6]