BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,836
- 20,254
Kwani akija ghetto ni lazima upewe mbususu? Hawezi tu kuja mkajipikilisha, mkala, mkacheki muvi na ku-spend quality time together? 😳
Kwani akija ghetto ni lazima upewe mbususu? Hawezi tu kuja mkajipikilisha, mkala, mkacheki muvi na ku-spend quality time together? 😳
Tunaomba mrejesho boss ulifikia wapi, yameshapita masaa 12 sasa....Haki leo huyu simuachi [emoji23][emoji23][emoji23] afe kipa afe bekiView attachment 2759290
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu mwanamke ni star kwenye fani gani?
Yakobo aliona zaamani
Hivi ya kwake ina mnato?Hivi huyu mwanamke ni star kwenye fani gani?
Yaani full kujisifia.
Shida nini?
Anatukazimisha watu wote tumkubali kisa nini?
Kwaake Yesu ni upendo kwangu mimi kosaYakobo aliona zaamani
Ni ngazi kwa Muungu