Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nikiondoka kidogo tu mjukuu unaanza vituko. Hiki nini sasa? Unataka niliite li Foxhound lije lilete rabsha hapa ama nini?

Sasa fikiria mzabzab akiiona hii. Ndo hapo utasikia tako skonzi sijui nini dah!

Itabidi nisiwe naondoka nini? inavyoonekana unahitaji ulinzi 24/7 wallahi 😬😬😬🖐🖐❤️
 
Pole!

IMG_20230921_215853_458.jpg
 
Back
Top Bottom