UDART ni vurugu tupu. Vituo havitangazwi kama uko mgeni utajijua. Mabasi vituo vingine hayasimami. Kwenye kituo abiria unakuta rundo lakini kuna mabasi hata 10 yako idle tu madereva wanapiga stori. Hakuna ratiba...
Sisi hatuwezi kitu. Tuwaachie wageni kila kitu! 🚮🚮🚮