UKIMWI ule wa mwanzo mwanzo ulikuwa unanyorosha watu sawasawa hata kama ni pacha wako wa tumbo moja unaweza usimtambue aisee. Sasa hivi hizi njugu zimesaidia sana watu wanakata moto wakiwa wanene tu....
Naona kwasasa umechukuliwa poa[emoji16]UKIMWI ule wa mwanzo mwanzo ulikuwa unanyorosha watu sawasawa hata kama ni pacha wako wa tumbo moja unaweza usimtambue aisee. Sasa hivi hizi njugu zimesaidia sana watu wanakata moto wakiwa wanene tu....