Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,426
- 857,705
- Thread starter
- #180,441
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]apple limetingishika
Vimbaumbau bana dah! 😁😁😁
Mtu unaamka saa 11 asubuhi halafu unaanza kula likes. Hovyo kabisa aisee 😁
Chuma cha Njombe Mgendera hicho! 😁😁😁🖐🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Nilihamia Kawe kabisa ili safari ya kwenda katika jimbo la Birmingham isinipite lakini mpaka sasa holaa. Kati ya watu waongo ni huyu jamaa - awe madhabahuni au katika majukwaa ya kisiasa 😁😁😁
Nimewaona… una kikomwe, pisi ina mwanyaView attachment 2746623
Wengi mna wivu sana
No body Can say no… 😂
Hahahha[emoji23]Nilihamia Kawe kabisa ili safari ya kwenda Birmingham isinipite lakini mpaka sasa holaa. Kati ya watu waongo ni huyu jamaa - awe madhabahuni au katika majukwaa ya kisiasa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2746715