moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,321
- 775,812
Hawajui kupika, hawasafishi Nyumba.
Muda wote kashika simu yuko Instagram anafuatilia umbea we Mange na Zuchu.
Ukikumbuka michezo anayocheza kwenye 6x6 yote unayaona madogo [emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]