Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Mboga mboga za wazungu hizo. Sie wengine mchicha umetukuzaIkiiva sana inasagika inakuwa utopolo. Inatakiwa iwe steamed kama unataka kupata ladha yake halisi. Shida yake kubwa ni kuwa na kiwango kikubwa cha pesticides labda upate ile organic iliyokuzwa bila madawa. Vinginevyo ni kuipotezea tu!

Hio ndio yenyewe sasa shoo shoo
