Mumewe kasimama kwenye kona
Labda hawana shughuli za kufanya kwasababu hatuna vita. Labda baadhi yao tungekuwa tunawakodisha au kuwatoa kwa mikopo kwenye nchi zenye vita Kama vile wale wanaopelekwa kulinda amani kimataifa au kikanda.Jeshi letu tukufu linapoteza heshima yake sasaView attachment 2742207
Sent using Jamii Forums mobile app