Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,173
- 37,346
Cookie huyu jamaa anaharibu uzi, anarudia rudia posts
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cookie huyu jamaa anaharibu uzi, anarudia rudia posts
Sijui ila ikinitokea nafresh mambo yanakaa fresh.Shd appa inakua ni nnView attachment 2741014
Dah back in 2012 eeh
Dah back in 2012 eeh
Chemical amekaa kitom-boy sana. Hivi ana hata mshikaji wa kumpelekea kweli!"Nikiamua kuvaa nitachukua mabwana wengi sana ndiyo maana sitaki kukaa huko, mimi ni mzuri sana na nimeumbika kila kitu siku nikiamua kujipodoa kama wanavyofanya wengine au wanavyovaa mtanipiga kwa sababu nitachukua vitu vyenu vingi na sipo tayari kugombana na watu" amekaririwa mwanadada Chemical ambaye amejizolea umaarufu katika muziki wa hip hop Bongo
Chemical kwasasa anasomea PhD yake ya mambo ya takwimu katika chuo kikuu cha ST.Andrews nchini Scotland, ni baada ya kupata ufadhili wa masomo kufuatia kuibuka mwanafunzi bora wa jumla wa tafiti katika chuo kikuu cha Dar es salaam kwa wanafunzi waliohitimu mastersView attachment 2740439
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16]oya hili chupa lina kama dk 70 hivi