Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Paracas Peru
FB_IMG_1693964593218.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Nikiamua kuvaa nitachukua mabwana wengi sana ndiyo maana sitaki kukaa huko, mimi ni mzuri sana na nimeumbika kila kitu siku nikiamua kujipodoa kama wanavyofanya wengine au wanavyovaa mtanipiga kwa sababu nitachukua vitu vyenu vingi na sipo tayari kugombana na watu" amekaririwa mwanadada Chemical ambaye amejizolea umaarufu katika muziki wa hip hop Bongo

Chemical kwasasa anasomea PhD yake ya mambo ya takwimu katika chuo kikuu cha ST.Andrews nchini Scotland, ni baada ya kupata ufadhili wa masomo kufuatia kuibuka mwanafunzi bora wa jumla wa tafiti katika chuo kikuu cha Dar es salaam kwa wanafunzi waliohitimu masters
FB_IMG_1693964696132.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
A female European Honey Buzzard Bird was fitted with a satellite tracking system in Finland recently and was of particular interest to locals because it spent the most recent austral summer around the town of Reitz in the Free State in South Africa. She left Reitz to start heading north on 20 April and on the 2nd of June, she finally reached Finland where she will probably spend the boreal summer before probably returning again next season for a visit in South Africa.
Here is an image showing the data received from the tracker which plots out the route that she took to head north... so, in just 42 days, she covered over 10 000 km at an average of more than 230 km every single day! Isn’t that just amazing...?!"
What is amazing is how she took a straight line north except for when she had to fly over water. (or Sudan)
Apparently she turned right at the source of the Nile and followed it. It is still fascinating that after that deviation she returned to the same longitudinal line she started on and continued until she reached her destination. Mother nature at its most fascinating best...
FB_IMG_1693964929804.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichungaji zaidi


Ibilisi atatia chumvi makosa na udhaifu wa mwenzi wako, atatia shaka na wivu, atajisikitikia, kusisitiza kwamba unastahili jambo bora zaidi, na kuahidi kwamba mambo yangekuwa bora ukiwa na mtu mwingine. Lakini sikia maneno ya Yesu, na kumbuka: Mungu anaweza kubadilisha mioyo na kuondoa ugumu wote ikiwa tutamruhusu.

( Mal. 2:13. 14. 16/Zab. 68:5, 6 ) L.C.

10 Wanafunzi wake walisema kwamba hali ya mtu na mke wake ni bora si kwa wengi Yesu Anafundisha juu ya useja.
ca3ea6afa5a2d710062e3f1a2c9859cd.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom