Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Unabii
Mchungaji Na Nabii Wa Kanisa La The Rapture Ministry Church Boniface Victor Amewataka Wakazi Wote Wa Mji Wa Dar Es Salaam Kuhama Katika Mji Huo Kabla Ya Kufika Tarehe 1 Mwezi 4, 2024 Kwa Kupisha Adhabu Ya Mungu Juu Ya Mji Huo.!

Mchungaji huyo amewataka Wakazi Wote Wa Mji Wa Dar Es Salaam Waanze Kuuza Mali Zao Ikiwemo Nyumba, Magari, Viwanja Na Na Baadhi Yao Wasimamishe Ujenzi Katika Mji Huo Na Kuwaomba Wahamie Kibaha Picha Ya Ndege.!View attachment 2740426

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo tumuuzie nani aliye na utayari wa kuangamia?
 
ZAY B

Miaka ya 2000 kulikua na mwanadada machachali sana katika Bongo Fleva anaitwa Zay to tha B mwanadada GaiDI.

Mwanadada alikua anajitahidi sana kwa nyakati zake kwenye game na walikua mahasimu sana ma mwenzake Sista P.

Alitoa nyimbo maarufu Nipo Gado akishirikisha Kibra, na alikua na Album Mama Africa ambayo kwa nyakati zake pia ilihit sana.

Kipindi yeye yupo hot kwa upande wa kina dada ni Sista P tu ndio alikua wanasumbuana. So tunaweza sema ni moja ya waasisi wa ili game Tanzania.

Siku zimepita kimya, sijamsikia kwenye vyombo vya habari, social media wala story za vijiwe.

Last time alitoa wimbo wa Penzi la Teja ila naona haukupokelewa kiviile.so akala bati.View attachment 2740423

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshakuwa mke wa mtu na mama wa watoto wake
 
IMG_1639771317335.jpg
 
Back
Top Bottom