Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,370
- 80,196

Hana akili aiseeHuyu ndiye Mme wa Spika Tulia Ackson anasema tusiwe na hofu mafuta yapo ambaye ndiye mkurugenzi wa Ewura.
Wewe unadhani Tulia ataruhusu hoja ya mafuta iende Bungeni na Mume wake Spika ajadiliwe ?View attachment 2740425
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😁Unabii
Mchungaji Na Nabii Wa Kanisa La The Rapture Ministry Church Boniface Victor Amewataka Wakazi Wote Wa Mji Wa Dar Es Salaam Kuhama Katika Mji Huo Kabla Ya Kufika Tarehe 1 Mwezi 4, 2024 Kwa Kupisha Adhabu Ya Mungu Juu Ya Mji Huo.!
Mchungaji huyo amewataka Wakazi Wote Wa Mji Wa Dar Es Salaam Waanze Kuuza Mali Zao Ikiwemo Nyumba, Magari, Viwanja Na Na Baadhi Yao Wasimamishe Ujenzi Katika Mji Huo Na Kuwaomba Wahamie Kibaha Picha Ya Ndege.!View attachment 2740426

Mwamba huyu😁😁😁😁