Aisee! Inabidi nijitafakari. Asante kwa kunikumbusha
nilikua nakopesha kwa riba ya 100%
Na mazishi yatafuata baada ya ndugu wote kufika 😀Hapo ndio ushapigwa sindano ya ganzi, kitu pekee unaweza kufanya ni kulia na kutingisha kichwa[emoji1787][emoji1787]