Hiki kiumbe hakijawahi hata kunipendeza machoniNyoka hawapendezi kuwaona ingawa NAPENDA sana kusikia habari zao.
Tafiti, sumu zao, tabia, maisha yao nk.
Mcheki huyu mwamba hapa.
KOBOKO, aka Black mamba, Muhando, Muyombo, Lunyasi, nkView attachment 2732184
Engineers sii wanakuwaga mabwege kwenye mapenzi...wao wanajua kumudu calculus tuu lakini sio wanawake...hivyo wanapelekeshwa ndio maana wanawake wanawapenda
[emoji1][emoji1] Hata na wao nyoka hawajawahi pendezwa na maumbile ya mwanadam. Ndiyo maana akikuwahi anakushambulia, asipokuwahi anakimbhia zake.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hiki kiumbe hakijawahi hata kunipendeza machoni
Aisee, binadamu wa miaka hii ni changamoto kwelikweli[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji51]