Hizi bifu huwa zinatengenezwa?
FAIZA ALLY AENDELEA KUMUADABISHA DIVA
"Fa masiala kudanga mpaka uwe na nyota uwe mzuri unafikiri utadanga tu na shepu yako kama mchicha, kidevu chenyewe kama mkate wa kumimina, eti watu wakishindwaga na mimi wanasemaga oh mi siyo mdangaji, sasa mdangaji na mtoa bure nani bora? Kutoa bure ni matumizi mabaya ya mwili wako yani mimi nivute toto la mtu jitu zima nilitunze kwa sababu zipi haswa?"
"Mnakosa bahati ya kupendwa mnajivutia tu mnapiga nazi mpaka mnaolewa alafu eti mna bahati

bahati ya mume kama wako sitaki bora niwe mdangaji nijichukulie changu nijisaidie shida zangu, nasemaga kila siku na ninarudia tena KUDANGA SIO ZAMBI, ZAMBI KUGAWA BURE. Yani kama hilo la mdangaji ndio mnaonaga babu kubwa mnajidanganya sana mademu wote wajanja wanadanga, wanawekeza wanasonga na maisha"
"Sijui umeliwa na wangapi mpaka ukadondokea kwa Sheikh uchwara

I can't see my self ku end up kwa Which doctor wallah! By the way nina Dr by fessional

sio Mganga wa kienyeji"- ameandika Faiza Ally