They will eliminate him!Kazi ya uongozi si rahisi kama umedhamiria kuwatetea wananchi haswa, kuna haja ya kugusa pande zisizogusika na ni lazima ziguswe, kabla ya Mwaka kuisha tutakuwa na orodha nzima ya watumishi wa Umma waliobaki na wazamani walipata vipi mali zao kwa wale tulio na mashaka nao, hatasalimika hata mmoja nami nikibainika nichukuliwe hatua, nchi zetu uongozi imekuwa ni maigizo na kula mali za nchi tu” Ibrahimu Traole Rais wa Burkina FasoView attachment 2716921
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukila mkate ulioexpire hushibi?
Kumbe kule alipelekwa Kama mamluki au spy lakini damu yake bado ni ya Mnyama