Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1691296756851.png

cc Donatila
 
Wabongo wengi hawatathubutu kuingia kwenye Basi hili. Basi la Owl huko Seoul Korea Kusini. Linaitwa huvyo kwa sababu huendesha huduma za usiku pekee, kutoka usiku hadi saa 11 alfajiri?View attachment 2709695

Sent using Jamii Forums mobile app


Muwekezaji mmoja alilete ruti ya kwetu Tabora, ntakuwa napanda hilo basi kila nisafiripo. Ila asiende Mwanza aishie Tabora tuu.... sababu nnayo kapuni 😊.
 
Dah! Hela inatafutwa kwa shida, ila matumizi yake ndiyo huwa ya kirahisi rahisi tu.
 
Back
Top Bottom