Basi tuu huwa tunachukulia mapenzi na mahusiano kirahisi rahisi, tunamekutana, tunachat paap tayari tunahusiana kabla hata ya kufahamiana kiundani na kinagabubaga.
Sasa itokee umehusiana na mtu ambaye akili yake haielewi kwanini umemuacha na hataki kuelewa unauhuru wa kuendelea na mahusiano na mtu mwingine....
Kuna watu mkihusiana na mkaachana ubaki hivohivo singo, ukianza mahusiano mapya ana wewe...
Hio ni aina ya kichaa.
Nafikiria kufungua shirika lisilo la kiserikali NGO ambayo itakuwa linachambua haiba ya mtu unayetaka kuhusiana nae ikiwemo kupewa historia ya mahusiano yake na maamuzi yake pindi anapokuwa na hasira au na furaha sana.
Huyo binti hatokaa sawa hadi muda upite sana, kushuhudia uliohusiana nao wanakata roho ndani ya muda mfupi tena kikatili....


Inabidi aje vakesheni afrika kuondoa msongo ataokuwa nao.
Hapo ndugu wa wanaume wote rahisi kumtupia lawama kwamba chanzo cha hao watu kufa ni yeye...
Mungu amtie nguvu, mweeh!!