Dah! Misungwi ndio wapi nihamie huko [emoji39][emoji39]Misungwi raha.
Kilo nzima ya mbuzi wa Vatican elfu saba tu dah! [emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2694356
Karibu sana ML.Dah! Misungwi ndio wapi nihamie huko [emoji39][emoji39]
Kweli kayasema haya?
Mbunge wa CCM?
Mjumbe wa NEC wa CCM?
Mfufua wafu?
Sidhani!
Nikibahatika kufika Mwanza nitafanya hivyo [emoji4]Karibu sana ML.
Ni wilaya mojawapo ya mkoa wa Mwanza. Ukikaribia mjini ulizia kwa Mzee Shimba mkulima wa nyanya na dengu utaletwa hata na mtoto mdogo mpaka nyumbani. Mengine yote yatakuwa juu yangu [emoji16][emoji16]
Binadam amekuwa mnyama
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956] Mmmh dog [emoji240][emoji190][emoji190][emoji190] style tu.
Oyaaa acheni kabisa. Huo utamu aseee
View attachment 2694670
instagram.com
Karibu sana!Mambo yako poa mkuu. Nimeimiss Jf!
Pamoja mkuuKaribu sana!