Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230719-201311.jpg
 
ANGEL BENARD AIKIMBIA NDOA YAKE KISHA KWENDA KUOLEWA MAREKANI.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini. Angle Benard ameachana na mume wake Godsave Sakafu kisha kwenda kuolewa na mwanaume mwingine nchini Marekani, mtu wake wa karibu amethibitisha. Zilisambaa picha kupitia mtandao wa Twitter ambao zilikuwa zinamuonyesha Angle akiwa anafunga ndoa na mwanaume mwingine huko Marekani, picha hizo ziliwashtua watu wengi kwani hawakuwahi kusikia kama ndoa ya Angle ilikuwa imevunjika.

Ndoa ya wawili hao ilikuwa inaonekana ni yenye mapenzi ya kweli kiasi kwamba kila mwanamke alitamani kupata mume wa aina ile, ambae alikuwa anamuonyesha mahaba mke wake mbele ya camera.

Miongoni mwa nyimbo kali ambazo zimuinua Angle ni pamoja na Siteketei na Nikumbushe.

FB_IMG_1689788375038.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2693492

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unitajie mwimbaji maarufu wa Injili wa kike mwenye ndoa. Nipo nimekaa paleee! 😬
 
Back
Top Bottom