Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,506
- 35,670
1. Mungu wangu. Naomba ridhiki yako maana nina njaa na watoto wangu wana siku sita hawajala cho chote. Wewe ndiye mtoa ridhiki mkuu. Nisaidie Baba yangu
2. Mungu Baba. Niokoe na dhahma hii. Wewe uliahidi kuwa wote wakutegemeo hutawaacha waangamie bali utawaokoa na kuwaponda ponda maadui zao. Baba nikutegemeaye usiniache niangamie leo
Naam! Dunia ya mikinzano. Hasi na chanya. Huyu apate. Mwingine akose. Uhai na kifo. Furaha na huzuni. Upendo na chuki. Ukweli na uwongo. Mungu na Shetani. Dunia!
View attachment 2692655
Naam! Dunia ya mikinzano. Hasi na chanya. Huyu apate. Mwingine akose. Uhai na kifo. Furaha na huzuni. Upendo na chuki. Ukweli na uwongo. Mungu na Shetani. Dunia!1. Mungu wangu. Naomba ridhiki yako maana nina njaa na watoto wangu wana siku sita hawajala cho chote. Wewe ndiye mtoa ridhiki mkuu. Nisaidie Baba yangu
2. Mungu Baba. Niokoe na dhahma hii. Wewe uliahidi kuwa wote wakutegemeo hutawaacha waangamie bali utawaokoa na kuwaponda ponda maadui zao. Baba nikutegemeaye usiniache niangamie leo
Naam! Dunia ya mikinzano. Hasi na chanya. Huyu apate. Mwingine akose. Uhai na kifo. Furaha na huzuni. Upendo na chuki. Ukweli na uwongo. Mungu na Shetani. Dunia!
View attachment 2692655
Mungu wangu. Naomba ridhiki yako maana nina njaa na watoto wangu wana siku sita hawajala cho chote. Wewe ndiye mtoa ridhiki mkuu. Nisaidie Baba yangu1. Mungu wangu. Naomba ridhiki yako maana nina njaa na watoto wangu wana siku sita hawajala cho chote. Wewe ndiye mtoa ridhiki mkuu. Nisaidie Baba yangu
2. Mungu Baba. Niokoe na dhahma hii. Wewe uliahidi kuwa wote wakutegemeo hutawaacha waangamie bali utawaokoa na kuwaponda ponda maadui zao. Baba nikutegemeaye usiniache niangamie leo
Naam! Dunia ya mikinzano. Hasi na chanya. Huyu apate. Mwingine akose. Uhai na kifo. Furaha na huzuni. Upendo na chuki. Ukweli na uwongo. Mungu na Shetani. Dunia!
View attachment 2692655

Sio lazima wafanane,Kitanda hakizai haramu.