LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,365
- 6,477
hivi vitu kama hivi vinaweza pigwa picha na mtu ambaye ni mweupe kabisaaNilivipiga picha usiku vilikuwa vinapita Kilingeni angani
Jr[emoji769]
hivi vitu kama hivi vinaweza pigwa picha na mtu ambaye ni mweupe kabisaaNilivipiga picha usiku vilikuwa vinapita Kilingeni angani
Jr[emoji769]
Kwa nini unadhani wengi hawajaelewa?Yan hpa naona wengi hawajaelewa lakini nimeshangaa sana, kwa jinsi gani sahani zimebadikika
pole broNimesoma mara 5 nimeishiwa kuchanganyikiwa.. Loh
Jr[emoji769]
Mm pia nashangaa hapa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kama uchawi vile, zimefunuka najaribu kuzifunika ni, nimeshindwa.