Vituko mitandaoni. Tupia chako


Wanaosema, "utamaliza bucha, nyama ile ile.." nyama haziko sawa banaa,kuna nyama kadha wa kadha.... iko nyama teke, nyama chukuchuku, nyama kavu, nyama iliyonona, nyama ya nundu .....n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…