Fikiria kodi za watanzania zinatumika na mawakili wa serikali kuwatetea waarabu wa Dubai wanaopora bandari zetu,halafu mawakili wasiokuwa wa serikali na wala hawalipwi chochote na serikali ndio wanatetea bandari zetu zisiporwe kwa gharama zao. Nimewaza sana mpaka nimetoa machozi
Mdude
View attachment 2677905
Sent using
Jamii Forums mobile app