
Hata mimi nimetoka kapa.Mbona kama mm ndio sijaelewa au kichwa changu ndio kibovu.
Dah... itakuwa ni kibovu labda...hata hivyo siyo lazima uelewe kila kituMbona kama mm ndio sijaelewa au kichwa changu ndio kibovu.



Watu wa Kagera, Kigoma na baadhi ya sehemu za Kilimanjaro wana uzoefu wa hii kitu.
Unakuta dem kasoma Shule za magari ya njano, chuo kakaa hostel kilasiku kiepe, kaajiriwa bado mwendo ni kiepe2 sasa unajichanganya Unaoa.
Nipo Corona utapita wapi?Dada nimekukumbuka tangu juzi.. Nimekumiss sana
Jr![]()