Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20230703_075223_754.jpg
 
Waandishi wa bongo wanacho kijua wao ni kuhoji umbea tuu. Kuhoji una wanawake wangapi? Una wanaume wangapi? Una watoto wangapi? una magari magari mangapi?unajisikiaje kuwa mnene? Ulishawai kutoa mimba? Happy birthday yako ni lini?usitegemee kusikia hoja za msingi kutoka kwa hao kenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waandishi wa bongo wanacho kijua wao ni kuhoji umbea tuu. Kuhoji una wanawake wangapi? Una wanaume wangapi? Una watoto wangapi? una magari magari mangapi?unajisikiaje kuwa mnene? Ulishawai kutoa mimba? Happy birthday yako ni lini?usitegemee kusikia hoja za msingi kutoka kwa hao kenge

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20230703_091014_Instagram Lite.jpg
 
Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na mwalimu wa shule hiyo anayejulikana kwa jina la mwalimu Jimmy.

Esther amedai mwalimu huyo alikuwa akimtaka kimapenzi na baada ya kumkatalia ndipo alianza kumnyanyasa kwa vipigo, na kisha kumbaka bwenini huku akimziba kwa blanketi ili asitoe sauti za kuomba msaada.

“Tulipotoka kuchukua chakula tukawa tumefika bwenini kwa kuchelewa, tukala chakula kisha mimi nikaenda kuoga, wakati narudi bwenini walimu wakawa wamefukuza watu maana muda ulikuwa umekwisha. Nilipofika mimi nikawa napaka mafuta, ndipo mwalimu [Jimmy] akaingia akawa ananipiga nikamwambia nimechelewa kuchukua chakula, na ndipo akanibaka,” ameeleza.

Ameongeza kuwa kesho yake baada ya kutendewa tukio la ubakaji, wakati wakiendelea na mitihani alizushiwa kuwa ameingia na kitabu kwenye chumba cha mtihani ambacho kilikuwa chini ya dawati lake, na kisha akashambuliwa kwa kipigo na walimu na kuchaniwa mtihani licha ya kujitetea kuwa hakuhusika.

“Ilibidi niende zahanati [ya shule] na baada ya mtihani wa pili kuisha nikaenda kushinda kanisani, nilikuwa nalia sana kwamba kwanini nimetendewa kitendo kile jana yake na leo nasingiziwa? Nikaamua kutoroka shuleni. Niliandika barua nikiwa na hisia kali na maumivu na kwenda kusikojulikana,” amesema.
FB_IMG_1688370295996.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom