MCHUKUE mbuzi mlaze upande kisha chukua Kata ambayo huwa unaweka kichwan tukijitwisha Eg ndoo.. weka kichwan kwa mbuzi... Mbuzi hataamka Mpka utoe Ile Kata. Hii ni sayansi ya Africa ambayo wale jamaa wakaja wakasema ni ushenzi
Nilidhani walisema hirizi za Kiafrika hazivuki bahari, ndivyo inavyovuka sasa.
Anna Pojnava akipelekwa katika Hospitali ya Wrolcaw nchini Poland kwa ajili ya upasuaji huku mume wake Mnigeria, Olusegun Onajide, aliyemtumia magun alipotoweka hewani aliposhindwa kujitenga na mpenzi wake!!!
😁😁😁😁Sijavunjwa niko bukheri kabisa alhamdulillah.
Madogo na baba yao pia wazima khofu kwako tu.
Mie nipo huwa napita kimya kimya tu ila leo nikakumbuka kuungana na familia kupost 😊😊.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.