Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230702-174639.jpg
 
Natumia jamii forum app,ila karibu 80% ya picha hazifunguki,sjui kwangu tu au Kuna mwenye hii changamoto?[emoji22]
Hiyo ishu ina miezi karibia mitatu sasa. Hiyo app wana mpango wa kuitelekeza. Kwa sasa itabidi utumie ile nyingine ambayo iko browser-based. Tumeanza kuizoea japo haiizidi ile app ya mwanzo iliyowapa umaarufu.
 
Back
Top Bottom