Haya ni baadhi ya mabaki ya meli ya titanic,
Swali ni kwamba picha zimepigwa ndani ya maji je hiĺo giza linaloonekana kwenye hizo picha limetoka wapi au picha zilipigwa nyakati za usiku,View attachment 2672860View attachment 2672861View attachment 2672862
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna njia nyingi picha zinaweza kuwa manipulated - kuweka giza, kuondoa giza...na sasa hivi na AI the possibilities are endless!Haya ni baadhi ya mabaki ya meli ya titanic,
Swali ni kwamba picha zimepigwa ndani ya maji je hiĺo giza linaloonekana kwenye hizo picha limetoka wapi au picha zilipigwa nyakati za usiku,View attachment 2672860View attachment 2672861View attachment 2672862
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa lugha rahisi sisi tumepewa WAJIBU wa kulea mimba lakini HAKI ya mtoto amepewa DubaiView attachment 2672946
Nguli wa Sheria duniani, Profesa Issa Shivji anasema kuwa mkataba wa bandari unaipa wajibu Tanzania lakini unaipa haki zote Emirate ya Dubai. Kwa lugha rahisi sisi tumepewa WAJIBU wa kulea mimba lakini HAKI ya mtoto amepewa Dubai.
Profesa nguli Shivji anasema kitendo cha Rais Samia kusaini Mkataba unaoipa Dubai HAKI ZOTE na sisi kubeba WAJIBU WOTE ni kuhamisha mamlaka ya Urais wa Tanzania na kupeleka Dubai. Yani Rais Samia kajipunguzia madaraka yake na kuwapa Warabu wa Dubai waamue kwa niaba yake.
Kwa lugha rahisi ni kwamba wakati wananchi wanalalamika Rais apunguziwe madaraka yarudi kwa wananchi, yeye kaamua kuyapunguzia Dubai. Asante Pfofesa Nguli Shivji kwa kuwafungua macho Watanzania. Sasa tunasubiri wamtume Mwijaku aje kukujibu.!
Yani Rais Samia kajipunguzia madaraka yake na kuwapa Warabu wa Dubai waamue kwa niaba yake.View attachment 2672946