Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Victory don't come by accident.

Kasinde.
FB_IMG_1688003064020.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makuadi wa soko huria. Utumwa wa kisasa ni utumwa mbaya sana kuliko ule wa kuuzwa sokoni. Walituuza sokoni wakati ule, lakini sasa hivi wenyewe tunajipeleka kwenye soko huria, kwa udalali wa wenzetu kwa zawadi na maokoto, tukijidanganya kwamba sasa tunaishi kwenye utandawazi.
20230629_050425.jpg


Bora ya wale waliouza kipande Cha Usagara, kwa wadachi wenye bunduki. Sio hawa wanaomkuwadia Mgeni, kuibia wazawa, Karne hii, ya Utambuzi, kwa kigezo cha utandawazi. Haramu wanayoitetea itawarudia wao, na vizazi vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utumwa (modern day slavery) siyo Minyororo, Utumwa ni Udumavu wa Kufikiri (intellectual malnutrition)
20230629_050425.jpg

Mitaani tunawaita wa..nge namba moja tanzania, wakiongozwa na kiongozi wao wawa..nge maulid. Wanatia kinyaa sana, mimi najua kabisa kati ya zembwela,hando na maulid wakipatwa na shida ngumu kwenye maisha wanawezakabisa kujiuza hawa jamaa. Yani wanaweza wakaweka mk..nd rehani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani ninini hiki

Eneo ambalo sio la DP WORLD lakini ni karibu na eneo la DP WORLD, mtu akitaka kujenga barabara au flyover ambayo interfere (itaingilia) shughuli za DP WORLD hairuhusiwi kwa mujibu wa mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari). Serikali itahakikisha kwamba shughuli hizo hazitokuwepo kando kando na eneo la DP WORLD" Prof. @IssaShivji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Girkin demands Prigozhin to be hung.
  • Prigozhin wants to kill Shoigu, but goes to king potato
  • Lame duck Putin is nowhere to be seen
  • Kadyrov makes selfies on empty bridges
  • Margarita Simonyan asks why Russia needs anyway the Ukrainian oblast

Like I mentioned on Saturday. This is a collapse of the last remnants of Russian statehood, and I accept everyone who says that Russian Federation was never even a state in the first place but a mafia entity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Girkin demands Prigozhin to be hung.
  • Prigozhin wants to kill Shoigu, but goes to king potato
  • Lame duck Putin is nowhere to be seen
  • Kadyrov makes selfies on empty bridges
  • Margarita Simonyan asks why Russia needs anyway the Ukrainian oblast

Like I mentioned on Saturday. This is a collapse of the last remnants of Russian statehood, and I accept everyone who says that Russian Federation was never even a state in the first place but a mafia entity.

Sent using Jamii Forums mobile app
Supapawa imekuwaje tena? 😳😳😳
 
TALAKA KWA KUPAMBANA

Katika Ujerumani ya enzi za kati, waume na wake wangeweza kupigana katika pambano la ndoa ili kusuluhisha mizozo yao kisheria.

Inafurahisha kwamba mwanamume huyo alilazimika kupigana kwenye shimo na mkono wake mmoja umefungwa nyuma ya mgongo wake. Mwanamke huyo aliruhusiwa kutembea kwa uhuru ndani ya uwanja lakini ilimbidi avae nguo zenye uzito. Kuhusu silaha yake, kwa kawaida alipewa gunia lililojaa mawe. Mwanaume huyo alipewa rungu tatu. Walakini, ikiwa aligusa upande wa shimo wakati wa mapigano, ilibidi apoteze moja ya rungu zake.

Wenzi wa ndoa kwa kawaida walipewa mwezi mmoja au miwili kusuluhisha tofauti zao kabla ya kupigana. Pambano hilo lingefanyika tu ikiwa hawangeweza kuafikiana na kufanya amani wao kwa wao. Ikiwa mume angepoteza pambano, angekatwa kichwa chake. Ikiwa mke angepoteza, angezikwa akiwa hai.
20230629_081302.jpg
20230629_081307.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom