Ulishakutana na mwanamke ambaye anajua "her worth?" Hakuna rangi ambayo utaacha kuona. Hata ukimwambia leo acha tujaribu staili mpya ni noooo! I know my worth na hunibabaishi because I am not your toy au chombo cha starehe. Ndiyo hawa wanawake wa shoka....
Motivesheno spikazi muwe mnafafanua vizuri jamani. Baadhi ya wafuasi wenu ni miyeyusho!