Ulishakutana na mwanamke ambaye anajua "her worth?" Hakuna rangi ambayo utaacha kuona. Hata ukimwambia leo acha tujaribu staili mpya ni noooo! I know my worth na hunibabaishi because I am not your toy au chombo cha starehe. Ndiyo hawa wanawake wa shoka....
Motivesheno spikazi muwe mnafafanua vizuri jamani. Baadhi ya wafuasi wenu ni miyeyushoUlishakutana na mwanamke ambaye anajua "her worth?" Hakuna rangi ambayo utaacha kuona. Hata ukimwambia leo acha tujaribu staili mpya ni noooo! I know my worth na hunibabaishi because I am not your toy au chombo cha starehe. Ndiyo hawa wanawake wa shoka....
Motivesheno spikazi muwe mnafafanua vizuri jamani. Baadhi ya wafuasi wenu ni miyeyusho!
