Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Kwa nini uwezekano uwe mkubwaWalokoleeeee!
Ni afadhali hata nichukue muuza baa kuliko mlokole aisee
Una uwezekano mkubwa wa kupata UKIMWI kutoka kwa mlokole kuliko muuza baa!
Marahaba mai furendi. Samahani kwa kuondoka bila kuitikia salamu yako hii ya heshima. Nimerudi salama. Natumaini uko salama huko Makete. Baridi bado? 😳Shikamoo kabla hujaondoka
Data zinasema hivyo....Kwa nini uwezekano uwe mkubwa
😀😀
Mwenyewe nimetafakari sana,View attachment 2664162
Tafakuri Jadidi:
Kwanini Tuwatafakari Wanafunzi Wasudan Na Wagonjwa Wetu Muhimbili..?
Ndugu zangu,
Nimeangalia kwa masikitiko namna wanafunzi kutoka Sudan wanaosomea tiba Muhimbili wanavyoelezewa kwenye media yetu na hususn mitandao ya kijamii. It’s a shame to our nation. Ni aibu na kwa hakika ni fedheha kwa nchi yetu.
Natafakari namna wanafunzi hawa kutoka Sudan wanavyotutafakari kwa namna tunavyowatafakari. It’s pure sexism and steriotype.
Kwa maana tunawaangalia kingonongono na kuwadhalisha kwa mtazamo wa kijinsia.
Hawa ni vijana wa kike waliopambana kwenye elimu na wangependa waangaliwe na kupimwa kwa uwezo wao kiakili na si kingonongono.
Ajabu wenye kushabikia upumbavu huu wengine wana mabinti zao wa kuwazaa wa umri wa kuwazidi wanawake hawa wasomi wa tiba kutoka Sudan.
Je, wangejisikiaje mabinti zao wangeangaliwa kingonongono badala ya uwezo wao kitaaluma?
Kimsingi kinachofanyika mitandaoni kinaweza kabisa kusemwa ni ‘ Sexual harassment’- Unyanyasaji wa kijinsia.
Kama taifa la watu wengi waungwana, tunapaswa kuwaomba radhi wanawake hawa vijana wasomi wa tiba kutoka Sudan.
Upumbavu mwingine?
Ni pale tunapowadhihaki wagonjwa wetu walio Muhimbili. Yaani, mtu mzima anadhihaki kwa kufanya utani wa kuwa ugonjwa ili apelekwe akalazwe Muhimbili ahudumiwe na wanafunzi wa tiba kutoka Sudan.
Hivi tunajua maana ya kuugua na kulazwa hospitalini?
Wagonjwa walio Muhimbili wako kwenye mahangaiko kupambania afya na uhai wao. Kwao hawamwangalii daktari kingonongono bali kama msaada.
Kama taifa la watu wengi waungwana tunapaswa kuwaomba radhi wagonjwa wote waliolazwa Muhimbili na kwenye hospitali nyingine huku tukiwatakia heri wapone haraka.
Ni Tafakuri Jadidi.
Maggid Mjengwa.
Zanzibar.
Data zinasema hivyo....
Wanasosholojia pengine watakuwa na majibu

tuachane na wanasosholojia... wewe unasemajeKwenye nchi za wenzetu hii ni sexual harassment...ila huku kwetu hatunaga huu msamiati kwenye kamusi zetuView attachment 2664162
Tafakuri Jadidi:
Kwanini Tuwatafakari Wanafunzi Wasudan Na Wagonjwa Wetu Muhimbili..?
Ndugu zangu,
Nimeangalia kwa masikitiko namna wanafunzi kutoka Sudan wanaosomea tiba Muhimbili wanavyoelezewa kwenye media yetu na hususn mitandao ya kijamii. It’s a shame to our nation. Ni aibu na kwa hakika ni fedheha kwa nchi yetu.
Natafakari namna wanafunzi hawa kutoka Sudan wanavyotutafakari kwa namna tunavyowatafakari. It’s pure sexism and steriotype.
Kwa maana tunawaangalia kingonongono na kuwadhalisha kwa mtazamo wa kijinsia.
Hawa ni vijana wa kike waliopambana kwenye elimu na wangependa waangaliwe na kupimwa kwa uwezo wao kiakili na si kingonongono.
Ajabu wenye kushabikia upumbavu huu wengine wana mabinti zao wa kuwazaa wa umri wa kuwazidi wanawake hawa wasomi wa tiba kutoka Sudan.
Je, wangejisikiaje mabinti zao wangeangaliwa kingonongono badala ya uwezo wao kitaaluma?
Kimsingi kinachofanyika mitandaoni kinaweza kabisa kusemwa ni ‘ Sexual harassment’- Unyanyasaji wa kijinsia.
Kama taifa la watu wengi waungwana, tunapaswa kuwaomba radhi wanawake hawa vijana wasomi wa tiba kutoka Sudan.
Upumbavu mwingine?
Ni pale tunapowadhihaki wagonjwa wetu walio Muhimbili. Yaani, mtu mzima anadhihaki kwa kufanya utani wa kuwa ugonjwa ili apelekwe akalazwe Muhimbili ahudumiwe na wanafunzi wa tiba kutoka Sudan.
Hivi tunajua maana ya kuugua na kulazwa hospitalini?
Wagonjwa walio Muhimbili wako kwenye mahangaiko kupambania afya na uhai wao. Kwao hawamwangalii daktari kingonongono bali kama msaada.
Kama taifa la watu wengi waungwana tunapaswa kuwaomba radhi wagonjwa wote waliolazwa Muhimbili na kwenye hospitali nyingine huku tukiwatakia heri wapone haraka.
Ni Tafakuri Jadidi.
Maggid Mjengwa.
Zanzibar.
Ukinipa mlokole na baa meidi nachagua baa meidi 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️tuachane na wanasosholojia... wewe unasemaje
Yeah!Kwenye nchi za wenzetu hii ni sexual harassment...ila huku kwetu hatunaga huu msamiati kwenye kamusi zetu
Yalinikuta haya hospitali za Serikali. Nilishtuka baada ya kumuona kila anayeniangalia anacheka. Kujiangalia kwenye kioo, mbavu sina!