Huyo bby mwenye huna wacha kutudanganya hapa.
Keshakuendea kilingeni Msata
Ila hizi pisi za Sudan ni kali aisee. Wale weusi tiii tunaowaonaga kwenye picha huwa ni wa wapi wale? 😳
🤣🤣🤣🤣 Wenye tako bwana
Wenye vibamia kazi tunayo...jamani msitusimange sana basi mnatuumiza kihisia
Scientifically proven 😁😁😁
Wale weusi hua ni wa sudan kusini jamii flani ya wajaluoIla hizi pisi za Sudan ni kali aisee. Wale weusi tiii tunaowaonaga kwenye picha huwa ni wa wapi wale? 😳
Wao hawasomei udaktari?Wale weusi hua ni wa sudan kusini jamii flani ya wajaluo
Scientifically proven...maana soko lake ni la shida so lazima awe tayari kupigana...the opposite is true!