Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230609_220614_Instagram Lite.jpg
 
Mmh
Ukitaka pepo lazima uende maka

Ukitaka kuongea na mungu lazima ujue kiarabu

Malaika wote ni weupe

Mwanaume wa kwanza mzuri alikua mweupe
Adam na hawa walikua weupe

Yesu mweupe kanisa kubwa duniani lipo rome

Vitabu vya dini havitakiw kuhojiwa wala kupingana na neno lolote la kwenye vitabu vyao vya mchongo

kushinda na njaa vitabu vinasema dhambi apo apo mtu ufunge kuanzia asubui hadi jion bila kula
yan ukiwa kwenye dini ni mateso makali unapata hasa kwa mtu mweusi mwenye shobo na dini za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20230611_091557_Instagram Lite.jpg
 
Back
Top Bottom