antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,710
- 130,606
nakubaliLabda ukiwa male bestie wake. Siku akizinguana na boya lake huko unaweza ukamla kimasikhara tu. Ogopa sana mpenzi mwenye msururu wa male besties. Watamla tu mwishowe hata afanyeje!
View attachment 2653734
#KuchapiwaHakuepukiki
Mmeniacha hapa mzee..