muznaabdallah
Member
- Mar 14, 2020
- 58
- 233
Demu alivyomuambia jamaa "cofee or tea" jamaa alijua kua amepewa option ya kuchagua kati ya kahawa au chai kumbe demu alimaanisha jamaa akisie alichokibeba ni cofee or tea. Ndo maana jamaa alivyo chagua tea demu kamuambia umekosea ni kahawaHapa sijaelewa kitu