Namba moja ana kauli tata sana
Aisee mafundi wana roho ngumu ngoma ilivyo kaa hivyo walikuwa wanaendaje mpaka hukoNingekuwa mmiliki wa jengo hili ningelivunja mkandarasi ajenge upya kwa gharama zake. Pumbav.View attachment 1392996
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sijaelewa kitu