Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,201
- 37,401
Ngumu [emoji23]kama kalio la shetaniIsome kwa kizungu kama ilivyo...
Nipo hapa dada😁
Kuna wakati watu tunajisahau mamake tusamehe. Kwa vile siye ni wanaume, mara moja moja kushtua neva siyo mbaya lakini kuna post/picha zingine zinarushwa mtu unaona hata aibu kuiwekea like inabidi uiruke tu....na zinaweza kuja mfululizo kama mvua!Hivi huu uzi umekuja kuwa wa aina gani maana hizi picha nyingi huku sio vituko tena ni po***n