Sidhani kama unaweza ku-justify alichofanya. Kung'oa meno kwa nyundo na kutoboa jicho kwa bisibisi. You can't justify this...Ingekuwa ni vitasa vya kufanya settings zirudi kwenye default pengine japo napo huwa sikubaliani navyo maana unaweza kuishia kuzidisha ukajikuta umeshaua!
Mtu mkishindwana mnaachana tu. Sasa atakula mvua 30+ kisa?
View attachment 2639223



Pengine jamaaa alijisemea potelea pote liwalo na liwegeSasa hayo mafuta yanaingia kwenye tundu lipi hapo🤪🏃🏃