Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wana kamsemo kao kuoa kunafungua baraka kutoka kwa mwenyezi mungu 🤣🤣🤣🤣
Hao wanaoingia kwenye ndoa sasa, mmoja kachoropoa mimba nne, mwengine gono mara tatu sasa unajiuliza hizo baraka ni za mungu huyu huyu nae mjua mie au wezangu wana mungu wao mwengine ambaye anabariki wazinzi
 
T-bag bna.. jamaa aliamka mweupe ila akawa mweusi kwasababu ya joto
20230527_183713.jpg
 
T-bag huwa ana vituko kishenzi yaan kaamua kuanzisha mgomo gerezani kisa joto, afsa anamwambia Tbag acha utoto joto siyo Kali kiasi hicho, akamnyooshea kidole mtu mweusi alaf anamwambia afsa mwangilie jamaa wakati anaamka asubuhi alikua ni mweupe ila joto limemfanya awe mweusi
Kacheza kausha dam mini😅😅😂
 
H

Ahaha! T-bag gan huyo maana me nnaemjua yule wa kwenye gem LA baiskel utoton
 
Back
Top Bottom