Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20230523-WA0007.jpg
 
We huoni wamehatarisha maisha yake kwa kumuweka juu akidondoka si anavunjika au kufa kabisa, hawajamthamini.



(jukwaa la jokes tu teh teh teh.....)
Halafu wamemuweka karibu na kichwa hilo limamba likizinduka tu linamuuma anadedi halafu hao wazungu wanakimbia. Hii haijakaa sawa ikibidi tuandamane tu kupinga huu ubaguzi
 
Back
Top Bottom